LINA AWATOLEA MAKAVU MASHABIKI ZAKE

Mkali wa muziki wa bongo fleva linna amewatolea makavu mashabiki zake baada ya kumdis kwa muda mrefu kuwa anazidi kunenepa tuu na linnah akawajibu ya kuwa "bado nanyonyesha tuu msiwaze nitakonda" 

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.